26 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Novemba ni siku ya 330 ya mwaka (ya 331 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 35.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1288 - Go-Daigo, mfalme mkuu wa Japani (1318-1339)
- 1858 - Mtakatifu Katharine Drexel, mtawa wa kike na mwanzilishi kutoka Marekani
- 1898 - Karl Ziegler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1963
- 1943 - Marilynne Robinson, mwandishi kutoka Marekani
- 1948 - Elizabeth Blackburn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009
- 1975 - DJ Khaled, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1986 - Ali Kiba, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 399 - Mtakatifu Papa Siricius
- 1267 - Mtakatifu Silvesta Guzzolini, padri Mbenedikto
- 1637 - Mtakatifu Umile wa Bisignano, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1751 - Mtakatifu Leonardo wa Portomaurizio, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1881 - Johann Ludwig Krapf, mmisionari wa CMS huko Afrika ya Mashariki kutoka Ujerumani
- 1952 - Sven Hedin, mpelelezi wa Asia ya Kati kutoka Sweden
- 1966 - Gallus Steiger, O.S.B., mmisionari kutoka Uswisi, askofu wa Peramiho, Tanzania
- 2012 - Joseph Murray, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1990
- 2012 - Hussein Mkiety, maarufu kama Sharo Milionea, msanii na mchekeshaji nchini Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Siricius, Alipi wa Adrianopoli, Konradi wa Konstanz, Nikoni wa Sparta, Belino wa Padova, Silvesta Guzzolini, Umile wa Bisignano, Leonardo wa Portomaurizio, Thomas Dinh Viet Du, Dominiko Nguyen Van Xuyen n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |