Erasto Nyoni
Mandhari
Maelezo binafsi | |||
---|---|---|---|
tarehe ya kuzaliwa | 7 Mei 1988 | ||
mahali pa kuzaliwa | Dar es Salaam, Tanzania | ||
Senior career* | |||
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
Rolling Stone | |||
A.F.C Arusha | |||
2009 | Vital'O | ||
2010- | Azam FC | ||
Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
Tanzania | 9 | (1) | |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
Erasto Edward Nyoni, (alizaliwa 7 Mei 1988, jijini Dar es Salaam, ni mchezaji wa soka (Mpira wa miguu) ni raia wa Tanzania, anayecheza eneo la kiungo mkabaji katika klabu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars). Afya yake ya akili ni timamu na anauwezo wa kipekee katika ufungaji wa magoli.
Kazi katika ngazi ya timu ya taifa
[hariri | hariri chanzo]Nyoni ni miongoni mwa wachezaji wanayoitumikia timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika michezo ya kimataifa.
Magoli katika michezo ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]- Alama na matokeo yanaorodhesha magoli aliyoifungia Tanzania.[1]
No. | Tarehe | Uwanja | Mpinzani | Alama | Matokeo | Mashindano |
---|---|---|---|---|---|---|
1. | 16 Juni 2007 | Stade du 4 Août, Ouagadougou, Burkina Faso | Burkina Faso | 1–0 | 1–0 | 2008 Africa Cup of Nations qualification |
2. | 10 Juni 2012 | National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania | Kigezo:Country data GAM | 2–1 | 2–1 | 2014 FIFA World Cup qualification |
3. | 15 Agosti 2012 | Molepolole Stadium, Molepolole, Botswana | Kigezo:Country data BOT | 1–0 | 3–3 | Friendly |
4. | 5 Julai 2017 | Moruleng Stadium, Moruleng, South Africa | Zambia | 1–0 | 2–4 | 2017 COSAFA Cup |
5. | 24 Machi 2019 | National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania | Uganda | 2–0 | 3–0 | 2019 Africa Cup of Nations qualification |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nyoni, Erasto". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viunga vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Erasto Nyoni at National-Football-Teams.com