Maisha ya wakfu
Mandhari
Maisha ya wakfu ni ufupisho wa "Maisha yaliyowekwa wakfu kwa kushika mashauri ya Kiinjili". Unaeleza hali ya pekee ya baadhi ya Wakristo ndani ya Kanisa inayotokana na uamuzi wao wa kumfuata Yesu katika mtindo wake wa maisha ya useja, ufukara na utiifu.
Mara nyingi wanaoishi hivyo wanaunda shirika la kitawa, ingawa si lazima, na wanajifunga kwa nadhiri au matamko yanayofanana nayo.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- [1] Aina za maisha ya wakfu katika Kanisa Katoliki zinavyoelezwa na tovuti ya idara ya Papa inayoyashughulikia.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maisha ya wakfu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |