Papa Alexander II
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Aleksanda II)
Papa Alexander II (21 Aprili 1073) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Septemba au 1 Oktoba 1061 hadi kifo chake[1]. Alitokea Baggio, Milano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Anselmo.
Alimfuata Papa Nikolasi II akafuatwa na Papa Gregori VII.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |