Wilaya ya Manyoni
Mandhari
Manyoni | |
Mahali pa Manyoni katika Tanzania |
|
Majiranukta: 5°45′17″S 34°49′47.5″E / 5.75472°S 34.829861°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Singida |
Wilaya | Manyoni |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 279,069 |
Wilaya ya Manyoni ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Singida yenye msimbo wa posta 43400.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 296.763 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 279,069 [2] baada ya mwaka 2015 maeneo ya Wilaya ya Itigi kutengwa na wilaya ya Manyoni[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya 2012, Singida - Manyoni District Council
- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ History, kwenye tovuti ya Halmashauri ya Itigi
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
---|---|---|
Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutupora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Manyoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |