Screen Actors Guild Awards
Mandhari
Screen Actors Guild Awards | |
The Actor Statuette | |
Hutolewa kwa ajili ya | Kufanya vizuri katika filamu na televisheni kwa wanachamaa wa Screen Actors Guild |
Hutolewa na | Screen Actors Guild |
Nchi | United States |
Imeanza kutolewa mnamo | 1995 |
Tovuti rasmi |
---|
Screen Actors Guild Awards ni jina la kutaja tuzo zinazotolewa kila mwaka na Screen Actors Guild (SAG) kutambulisha au kupambanua kazi zilizofanywa na wanachama wake (yaani, hutolewa kwa ajili ya wanachama wa SAG tu, basi). Kijisanamu kinachotolewa, kinamwonesha mwanaume aliye-mtupu kashikilia visanamu viwili - kimoja cha kuchekesha na kingine cha kusikitisha, kinaitwa Actor.[1] Kina urefu wa inchi 16, uzani wa ratili 12, na ni kalibu ya shaba nzito.
SAG Awards imekuwa moja kati ya sherehe kubwa za ugawaji wa tuzo huko mjini Hollywood tangu mwaka wa 1995.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Screen Actors Guild Awards: Rules". Iliwekwa mnamo 2010-01-24.